FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Friday, October 4, 2013

(NEW VIDEO) ALICIOS - POSA YA BOLINGO ''HAMU YA MAPENZI''

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:02 AM

Kama ulikua hujui kwa taarifa tuu, Alicios Theluji known as ALICIOS  ni Moja kati ya wakimbizi kutokea DRC kongo miaka mingi iliyopita ambae walijiunga na wenzaoNCHINI kenya, Makaazi kusoma na kila kitu alifanyia nchini KENYA,na ndipo alipoanza rasmi mziki wake ngoma ya ambayo ilimtambulisha Vizuri sana ya  Kiswahili, alifanya na JULIANA ilikua ikijulikana kama ''MPITA NJIA'' Nyengine ni ''NIKO POA'';
Ukitaka kuamni mtu hasahau asili yake angalia hii ngoma yake mpya ''POSA YA BOLINGO'' yenye maana ya Hamu ya mapenzi, kama Ni mpenzi wa musik lazima utakubali tuu:
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top