FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Friday, October 4, 2013

TOP 5 ENTERTAINMENT/GOSSIP WEBSITES OR BLOG IN TANZANIA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:21 AM

Mtandao wa eastafricanwebsite Ambao kazi yake kubwa ni kuri view website na blogs za East Afrika, Ni mtandao ambo pia hutoa fursa ya watu kuingia na kupigia kura Website wanazoona kuwa ni bora, website hiyo ya EA.WWW ina vipengele kama    E.A web directory  | Vote Top website | Website Review | Website list | Website Advice ambavyo huumpa mtembeleaji wa Website kuzitumia lakini cha kwanza unatakiwa kujiunga kwa kuji regist,then utakua na fursa nzur ya kupigia kura amaba kuangalia na list nyengine:
Leo kupitia website hiyo imezitaja Website 5 bora za Tanzania ikiwemo na Blog ya DjChoka Blog ambayo imeshika nafasi ya tano, Namba nne ilikwenda kwa Website ya TeemTz, namba Tatu ni Dartalk, Namba mbili imebebwa na Gongamx na moja imebebwa na Bongo5, Hope utakua umekubaliana nao kwa iYo hizo ndio hot WEB za T.z, lkn zipo na za KENYA pamoja Na UGANDA pia:

5.www.Djchoka.blogspot.com
4.www.teemtz.com
3.www.dartalk.com
2.www.gongamx.com
1.www.bongo5.com
sisi kama WACHAFU INC TEAM hatuna mashaka kabisa na hili,: thus why tumewapa CREADIT kiroho safi kabisa:
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top