FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Showing posts with label PHOTOS. Show all posts
Showing posts with label PHOTOS. Show all posts

Monday, October 28, 2013

PICHA ZA SMILE GENIUS SHOW YA BASHASHA JANA CLUB BILLCANAS:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:26 AM

Jana ilikua ni siku ya Burudani kali tuu, kwa wale wapenzi wa musiki wa Bongofleva Ambao walifika jana Club Billcanas, watakubaliana na mimi,Bob Junior alikua anazindua Rasmi Nyimbo yake ya BASHASHA, Na wasanii kadhaa wa kadhaa walikuepo kumpa Support, akiwemo Kijana kutokea Zanzibar Smile the Genius Ambaye mashabiki walifurahia ujio wake kwenye stage, hasa pale alipo gonga ngoma ya Kichefuchefu ambayo ndio ilikua midomoni mwa mashabiki wengi usiku wa jana, Performance ilikua nzur sana check some picture of Smile Genius on stage:




TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

Thursday, October 17, 2013

KWA MARA YA KWANZA HII TATOO YA DIAMOND PLATNUMZ;

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:46 AM

Huwenda watu wengi wanaweza wasilishtukie hili, lakini halitaki touch na hii ni kwa mara ya kwanza Unaiona tatoo ya Msanii wa Bongofleva Nasiib Abdul KUPITIA blog hii hii ya Wachafuinc|blog, Tumekuleteeni picha hii uiangalie na hii kwa upande wako itakua ni for the first time, Mkono wa kulia wa Diamond Ukiangalia juu ya bega Unaiona Tatoo ambayo sisi bado hutujaielewa imeandikwa vip huwenda wewe unaweza kutuambia hapo chini :Hebu icheki then utatuambia:

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

(PICHA) ZA MTOTO WA DANCER WA DIAMOND CHECK HAPA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:16 AM

Mmoja kati ya madancer wa Diamond Platnumz(Wasafi dancer) anaejulikana kwa jina Dumy Utamu amepata mtoto wa kiume; Mama mtoto huyo, ni mwanadada anaejulikana kwa jina la Juju Platnumz au Choclate Juju, kwa pamoja wamepata  mtoto wa kiume hivi juz juzi tuu, kama hujapata bahati ya kuona Picha ya Mtoto huyo hizi hapa kwa ajili yako tuu; Zichek hapa kwa mara ya kwanza:

Tuesday, October 8, 2013

PICHA 4 ZA AZAM T.V WAKIWA KAZINI UWANJA WA TAIFA DAR:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:53 AM

AZMA TV imeanza kuonyesha mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kupitia Kituo cha
TBC1. ambapo meci ya kwanza ilikuwa ni mchezo kati ya Simba na Ruvu Shooting, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Angalia hapa chini baadhi ya picha nyengne za wafanyakazi wa AZAM Tv, wakiwa bize kazini kufanya

Monday, October 7, 2013

CHECK PICHA 5 ZA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ SI MCHEZO;

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:46 AM



Diamond platnumz ni msanii anaefanya poa sana kwenye game hii ya bongo fleva kwa sasa T.z na nje ya T.z hilo halina Ubishi, Sasa na leo tumeamua kukuleteni Picha za mmoja wa Familia ya Mwanamusic Diamond,
Ambae ni Dada ake wa mama mmoja, mwanadada anaitwa ESMA or Esma Platnumz Almaarufu hivyo:
Katika pita pita zetu kwenye mitandao ya kijamii tukakutana na Beautifully Lady huyu, she is very simple but very pretty,  Take a look Picha 5  Zifuatazo kisha tuone: kwa mtazamo wa kwangu mimi binafsi; BEAUTIFULLY:


TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Sunday, October 6, 2013

(PICHA) STUDIO YA PRODUCER CNINE INAYOITWA C9 RECORD:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:44 AM

Producer alikua aliyefanya kazi kubwa sana ya kuwainua ama kuwapeleka mbele wasanii kama A.T, Rich Mavoko, marehemu Sharo milionea na wengne kwa kuwatengenezea Hit kali sana alipo kua Katika Studio za Kiri Record ,C Nine Kanjeje Sasa amefungua studio yake ambayo ameipa jina la C9 Records:
C9 ama Cnine ambae kwa sasa kauli mbiu ya Studio iyo ni '' Kazi kwanza umaarufu badae'' ameweka picha za studio hiyo:
Chukua Time kuzicheki hapa baadhi ya picha ya Studio hiyo: pia for BUsness unaweza uongozi wa Studio kwa namba 0225504951;

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Friday, October 4, 2013

(PICHA)HAWA NI BAADHI YA MASTAA WALIYOZALIWA MWEZI WA 10:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
4:42 AM


Labda tu kwa taarifa lpengine ulikua hujui kama wapo, mastaa ambao wamezaliwa mwezi mmoja,Pengine pia wapo wengi sana, Lakini hawa ndio ambao nimeamua leo nikujuze baada kukuta wamejikusanya kwenye picha ya pamoja na Online Intertainer King Kapita ndani ya Instagram,
Rais J.k Kikwete nae amezaliwa mwezi huu, King Kapita, Diamond Platnumz, Salama Jabir bibie wa Mkasi, Zamaradi Mketema mtangazaji wa Clouds T.v (HAYUPO pichani) pamoja na mwana dadafada Wema Sepetu;
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Thursday, October 3, 2013

PICHA ZAIDI YA 6 ZA DIAMOND NA VJPENNY SHEREHE YA BIRTH DAY:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:55 AM

Jana tarehe 2/10 ilikua na siku ya kuzaliwa mastaar wengi tuu nchini T.Z, mmoja kati ya hao ni Rais wa Wasafi Diamond Platnumz star wa Ngololo dance.
Check hizi exclusive Picture, ambazo walisherehekea Birthday Party yeye na Mpenzi wake VjPenny,
Na sisi tumefanikiwa kuzinyaka hizi kabla ya wewe kuzikuta kesho kwenye Font page za Magazeti ya Udaku:
Chukua muda wakao kuzicheki Romantic pic za wapendanao hao:
mmhhhhhhh: Hapa Diamond Platnumz akipokea bonge la kiss kutoka VjPenny, this is very romantic,

Hapa Diamod akiwa na Dada yake ESMA PLATNUMZ

KISS KISS

Na watuache tulale

KISS KISS AGAIN

Hapa weka wewe CAPTION: andika kwenye comment:

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Wednesday, October 2, 2013

(CHECK PHOTO) HAPPY BORN DAY NASEEB ABDUL (DIAMOND)

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:21 AM

Kwa mujibu wa Star huyu wa #ngololo anaesumbua East Afrika kwa sasa, amebainisha kua leo ni siku aliyoiona dunia kutoka mama naseeb, 
HAPPY BIRTH DAY NASEEB nafkir ndio neno litakalo tawala kwenye comment zake na si kingine
Let us wish him happy birthday:

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

PHOTO ZA VIDEO MAKING YA SUMA MNAZARETI ANAYOFANYA SOUTH AFRIKA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:56 AM

Msanii ambae kipindi flan  alitokea  LUNDUNO na kwenda MTASHATI ya OSTAZ JUMA ambapo alikaa kwa muda mchache na kuamua kuachana na MTANASHATI pia anaejulikana kwa jina Suma Mnazareti.Kama wasanii wengne wanavyoamua kufanya video nzuri ili kuvuka boda la biashara ya music wao Suma na yeye hajajiweka nyuma, Mara hii ameamua kwenda South Afrika Kufanya Video yake, CHEKI picha zifuatazo za Behind the scene ya Video Hiyo-;







TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

:

Sunday, September 22, 2013

(PHOTOS) TWITTER WALIZO ANDIKA ALSHABAB KUHUSU SHAMBULIO LA KENYA HIZI HAPA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
4:26 AM

Hii ni account inayohusishwa na alshabab, tangu jana imekua ikitweet kuhusiana na hali ya KENYA na
shambulio la kigaidi, cheki hizi Twitter na zingine hapa chini-;


TOA MAONI YAKO HAPA:

PICHA ZA MSANII WA KIKE BABY J ZILIZOZUA UTATA KWA BAADHI YA WATU NI HIZI HAPA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:06 AM

Mwanamusiki wa kike T.z anaetokea katika Visiwa vya ZANZIBAR  Jamila Abdallah a.k.a
BABY J ambae kwa sasa yupo Falme za KIARABU kwa ajili ya kufanya BAADHI ya shows kwenye miji tofauti kwenye FALME hizo, hivi karibuni amegeuka gumzo kubwa kwenye mitandao baada kupost picha zake akiwa huko, kupitia mitandao tofauti toauti Ukwemo Mtandao mkubwa wa picha wa ISTAGRAM kila mmoja alikua na maoni yake kuhusiana an picha hizo, Juhudi za kumtafuta  BABY J kujua amechukuliaje COMMENT za baadhi ya FANS zake juu ya picha hizo, bado zinaendelea tukimpata tutakupatieni taarifa pia;
Angaliana na baadhi ya picha nyengne hizi hapa chini usisahau kuacha maoni yako;




TOA MAONI YAKO HAPA:

Proudly Powered by Blogger.
back to top