FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Showing posts with label VIDEO MUSIC. Show all posts
Showing posts with label VIDEO MUSIC. Show all posts

Saturday, November 2, 2013

(OFFICIAL VIDEO) BERRY BLACK FT ALI KIBA - ISHARA ZANGU

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:34 AM

New Video ya mfalme wa Bongo Fleva Zanzibar, Berry Black Hii hapa, imeachiwa  Online Premier, Kama bado hujabahatika kuiona icheki hapa, uone mtu mzima Berry Black Alivyoamua Kufanya kweli, ngoma inaitwa Ishara zangu ,Audio yake ilisha Toka amemshirikisha Ali kiba:
Now chukua Time yako sasa kuiangalia Video, Director Mejja, Audio Akhenato rec kwa Lil ghetto:
Nouma sanaaa humo ndani: Usisahau kuacha maoni yako kuhusu video hii:::

TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

Monday, October 28, 2013

(VIDEO) HIVI ULIONA HII VIDEO YA AZMA ALIVYOWACHANA JAMAA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:56 AM

Wanasubiri Nife is from the album ATHMA(AZMA) ATTACK which will be released later this year.
Music video Directed by Wynjones Kinye (c)2013 KINYE MEDIA.
Audio produced by Double (Glory Records)

Saturday, October 26, 2013

ALICHOKIFANYA LADY JAY DEE NA SALIF KEITA HIKI HAPA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:13 AM

The exciting performance of the song 'Africa' by Salif Keita (Mali) and Lady Jay Dee (Tanzania) on Coke Studio Africa, Season 1, Episode 1:
Lady jay dee ni hatari sana, humu ndani ameonesha kitu kingine ambacho pengine wewe ulikua hukijui tangu umone au kuskia ngoma zake, pamoja na kuona live performance zake:
Chukua Time yako kuiangalia #video hii, hata kama c fan wa Lady jay dee am sure ukiangalia bas For the First time utajoin tuu: ''great work jide''

Saturday, October 19, 2013

(BRAND NEW VIDEO) HEMEDY PHD ft MR BLUE -REST OF MY LIFE

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:38 AM

Hemedy Phd msanii wa Filamu pamoja NA music ameachia kichupa(VIDEO) chake ngoma inaitwa  Rest of My Life, ni nyimbo ambayo aliifanya Ndani ya Studio za SEI RECORDS akiwa amemshirikisha vilivyo Herry Samir Mr Blue Byser, Nice Video, Mengine mengi icheki kwanza then wewe ndio utakua Jaji kwa kutoa maoni yako kuhusiana na ngoma hii; Usisahau kuacha Maoni yako kuhusiana na Video hii, kwa kutumia Facebook Yako:

Friday, October 18, 2013

BRAND NEW VIDEO YA MKALI ALIYEIMBA AZONTO :

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:39 AM

 Mjini kulikua na joto kubwa sana la kusubir mkali wa AZONTO atatokaje, tena baada ya kufanya poa sana kwenye goma kama  Azonto na Antena, sasa watu Africa na Dunia wamemkubali kua huyu jamaa ni Nyooko sana, ameachia ngoma yake mpya leo Tarehe 18/10/2013 na kwa mara ya kwanza iangalie kupitia blog yako ya Wachafuinc.blog inayo kupa ma Exclusive tarehe hii hii, FUSE ODG  ngoma inaitwa Million Pound Girl (Badder Than Bad)
Press Play and Leave Comments

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Thursday, October 17, 2013

(NEW VIDEO)DULLY SYKES - KABINTI SPECIAL

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:29 AM

Kama bado hujapata  bahati ya kuangalia Video mpya Kabisa ya Prince Dully Sykes icheki hapa kwa amara aya kwanza kabisa, Ngoma inaitwa Kabinti Special; Brand new
Kisha usisaha

Monday, October 14, 2013

(VIDEO) CHIDY BENZ AONGELEA VITU VINGI SANA HUMU:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
6:18 AM

Msanii kutoka ilala anaae husishwa na BiFu nyingi sana na wasanii wenzake RASHID a.k.a Chidy Benz, amefanya show ya mkasi juma tatu iliyopita akiwa na Salama Jabir,Muba na wengne,  Kwenye kipindi icho Chidi ameongea vitu vingi vilivyowahi kuzungumzwa kuhusu yeye na inawezekana pia Chidi Benzi akawa ni mtu Mstaarabu Kuliko unavyofikiria,(Ninavyo hisi mimi) Ukiangalia Show hii utagundua ilo, sema kuna Baadhi ya Mambo tuu ambayo huwa anakosana na watu anaogombana nao, Kama hukuicheki hii show iangalie hapa na umskilize Chidi Mfalme wa Ilala;

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Saturday, October 12, 2013

(OFFICIAL VIDEO TANZANIA) LUCCI - SUMU:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
11:40 PM

Lucci ni producer ambae ameproduce ngoma nyingi sana zilizowahi kuhit hapa T.z, na sehemu kubwa ya watu wanamjua Lucci kupitia Ngoma za CPWAA, licha ya kua zipo na nyingi nyengine,
 Kama tulivyowaahidi kwenye post za nyuma kua ngoma itapatikana hapa tumetekeleza hilo:
Just angalia Video ya , ngoma  hapa hapa WACHAFUiNC.blog
Usisahau kulike page yetu hapo pembeni:


TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Friday, October 11, 2013

(VIDEO) MWANA FA & AY FT J.MARTINS -BILA KUKUNJA GOTI:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
11:49 PM

Kule kucheza bila ya kukunja Goti kuliko kua kuna subiriwa na watu wengi ndio huku sasa, Ay, MwanaFa na J.Martins wameonesha kwenye kichupa chao hiki kipya, ambacho licha kua na ubora wa hali juu kwa hapa t.z, pia imethibitishwa kua na Ubora wa hali ya juu na vituo mbali mbali vya Tv hapa Afrika:
Chukua time yako kuicheki Video hiyo, Then mwisho wa siku na Wewe utakua Jaji pia, Usisahau kuacha maoni yako hapo chini:


TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Wednesday, October 9, 2013

(OFFICIAL VIDEO ZANZIBAR) NASSIR VANILLA - SI UTULIE(relax)

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:52 AM

 Nassir Vanilla the new Presdent, ameauhakikishia umma kwamba sasa ameamua kua serious na kazi, the last time ameachia Ngoma yake AUDIO aliyomshirikisha  Abdu Kiba,ambayo mpaka sasa bado inafanya vizuri Visiwani ZANZIBAR,ndio watu walimuelewa kwa wingi sana na kwa Video hii ya ngoma inayoitwa SI UTULIE, Utakubali kama jamaa anashusha Vanilla and Hopefull atajiongezea Mashabiki kutoka kila kona ya E.Afrika,
Kama kawaida Chukua time yako kucheki hii VIDEO ni nyimbo tamu sana kwa kila kitu:
USISAHAU KU COMENT HAPO CHINI via FACEBOOK;

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Tuesday, October 8, 2013

(OFFICIAL VIDEO KENYA) VIVIAN FT JAGUAR - MY DREAM:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
11:48 PM

Msanii mwenye Jina kubwa sana nchini Kenya na E.afrika Charles Kanyi Njagua a.k.a JAGUAR, ambae ameshasumbua sana na ngoma kama Kigeugeu,Matapeli,Nimetoka mbali ambayo alifanya na A.Y,na kwa sasa Kipepeo ndio anayosumbua nayo:Msanii  Jaguar mara hii amempiga taff dada mpya kwenye game hii ya music nchini humo, anaejulikana kama VIVIAN, na kufanya nae ngoma inayokwenda kwa jina la DREAM,
Ngoma ni kali sana Jagua amefanya vile alivyotakiwa kufanya na video pia iko poa sana,Kama kawaida Chukua time yako kuicheki Video hii Mpya kabisa kutoka Kenya:


TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Monday, October 7, 2013

VIDEO; GENIMI (AMINI & BARNABA) - WHY MIMI:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
3:27 AM

New Video hii hapa kundi la watu wawili wanaofanya music wa aina moja AMINI na BARNABA, Kundi lao linaitwa GEMINI, Chukua time yako kukicheki hiki kichupa ni classic sana kuanzia mashairi ya ngoma mpaka Video yenyewe;
Thibitisha hilo kwa kuicheki hap hapa:

Sunday, October 6, 2013

(NEW VIDEO) D'BANJ - FINALLY

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:37 AM

Kichwa Kutokea pande za niger, D'BANJ juzi tarehe mbili ameachia rasmi Video mpya ya ngoma inayokwenda kwa jina la FINALLY,
Check Kichupa na hiki hapa kwa ajili yako kama unapenda Nigerian  music:

Saturday, October 5, 2013

(NEW VIDEO) ZEETOWN SOJAZ FT FEDRIGO - CHINJA CHINJA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
9:14 AM

Kundi la Hip hop kutokea Visiwa vya Zanzibar Tanzania linalojulikana kama Zee Town Soljaz, Kundi ambalo linaundwa na wasanii takribani wawili King Poza na Kira Kirami, ambao walikaa kimnya kwa muda lkn wamerudi  faster na kuachia Video yao Mpya ngoma inakwenda kwa jina la Chinja Chinja,
Chukua time yako kuicheki ngoma hiyo hapa hapa home of news Wachafuinc.blogspot;
HII HAPA:

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Thursday, October 3, 2013

(OFFICIAL VIDEO) DOGO D FT YOUNG KILLER - NAHITAJI MAADUI:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
6:55 AM

Ngoma hii ya Hip hop ya bwa mdogoo D aliyomshirikisha Young killer Msodoki kutokea Rock city mwanza ni kali balaaa, audio yake ilishatoka zamani, na watu weng baada kuiskiliza na kuskia alichana ni dogo, Sifikirii wala sidhani km yupo alifikiri huyu dogo ni mdogo kiasi hichi inasemekana yupo Primar Darasa la Tano,
Chukua muda wako kuicheki Video hii Dogo D mwenye Umri wa miaka 11 Tuu:

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

(NEW VIDEO) RIHANNA - POUR IT UP:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
4:11 AM

Video ya mwanadada Rihanna ambayo watu wengi walikua wana hamu ya kutaka kuiona, Video ya nyimbo Pour it up iliyo kuwemo kwenye Album ya Unapologetic, Chukua muda wako kuicheki Video hiyo yenye full manjonjo ya Mwanadada Riri:
 

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Wednesday, October 2, 2013

(VIDEO) NAVIO FT KEITH SWEAT - ON AND ON:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:23 AM

Check new Video ya msanii kutoka UGANDA u.g, Navio aliyomshikisha star Keith Sweat, video inaenda kwa jina la ON AND ON check hapa:

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Wednesday, September 25, 2013

(OFFICIAL VIDEO) SKYLIGHT BAND - CAROLINA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:12 AM

Angalia hapa Video mpya ya wazee wa nasaka doo SKYLIGHT BAND ngoma  inaitwa CAROLINA nice video fanya kuicheki na wewe:

TOA MAONI YAKO HAPA:

(VIDEO) YOUNG D NA BELLE 9 NI NOUMA SANA CHEKI HII VIDEO YAO UTAAMINI:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:23 AM

Leo nimezidi kuamini kama hawa jamaa ni talented sana tena  ni balaa. Katika pita pita yangu kwenye mitandao(blogs) nikakuta na hii video, ambayo ina ngoma yenye verse 1  ya Young D na chorous ambayo amefanya Belle 9, Kwa mujibu wa maelezo ndani ya video ni kwamba iyo ngoma ni mshkaji anaeitwa Gentriez ambaye yeye bado hajaweka verse yake, Bele na Young D wameshafanya yao, Daaah iskize na kuiona hapa ngoma imefanywa Noizmekah Studio: icheki hapa chini:
Usisahau Kuacha COMMENT yako kuhusiana na huu Mzingo:
TOA MAONI YAKO HAPA:

Friday, September 20, 2013

(OFFICIAL VIDEO)BABY J FT BOB JUNIOR - BOMOA BOMOA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
3:34 AM

Angalia hapa video mpya ya Baby j ft Bob Jonior inaitwa Bomoa Bomoa enjoy

Proudly Powered by Blogger.
back to top