FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Showing posts with label MP3 MUSIC. Show all posts
Showing posts with label MP3 MUSIC. Show all posts

Saturday, November 9, 2013

HARD MAD AMJIBU JIDE KWENYE YAHAYA ''NAISHI GHETO''

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:06 AM

 Msanii Hard mad amewaokoa mAYAHAYA wengi waliyoimbwa na mwanadada Lady Jide, baada ya kuachia hii ngoma ikiwa imejibu maswali yote aliyo uliza Jide kwa Yahaya:

''Jamanii tel jide me no beef no one, naishi ghetto Maskani kweli kinondoni no trouble no one''

Maswali ya Lady jay dee kwenye Yahaya yamemgusa hard mad na kuamua kujivika u- yahaya na kumjibu kupitia ngoma hii yan Naishi Gheto: iskize hapa tumekuekea:
Japo kua mpaka sasa bado haijatambulika kama Lady jay dee alikua na taarifa juu ya ujio huu wa Yahay Rmx kutoka kwa bwana mkubwa Hard mad: Ngoja tuone Jide atasema nini Kuhusiana na hili:

TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

Saturday, November 2, 2013

(download)REC P JUNIOR FT SPINCE SESEME - NAKUPENDA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:40 AM

Skiliza na Download hapa ngoma ya Rec P junior aliyoifanya na Spince Seseme inaitwa na Nakupenda sana:
Chukua time yako kuiskia hapa kwa mara ya kwanza:

Monday, October 28, 2013

(NEW AUDIO)ALATISH MABAWA - SHULALALA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
8:57 AM

Kachaa wa miondoko ya Bongofleva Visiwani Zanzibar Ambaye watu wengi wanaamini ana ladha ya aina ya peke yake ambayo imekua ngumu kuigwa na msanii yoyoyte, hapa T,z, Kijana anajulikana kama Alatish Mabawa a.k.a Kibogo yao, now ameachia Mzigo mpya ambao kwa mujibu wa maneno yake amekuja kuwanyamazisha  wanaopiga piga kelele tuu, Now chukua timu yako kuiskiliza Ngoma hii ya inaitwa Shulalala, ni balaa sana humu ndani daah you did it mabawa:


TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

Friday, October 25, 2013

(NEW AUDIO)SOLO THANG FT MR BLUE - MDUDU

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
11:38 PM

Solo thang alipo simamisha kuitoa ngoma yake Mdudu ijumaa uliyopita ili kuicha Siri ya mchezo ya Fid q, Hakukosea kabisa, huwenda angeitoa siku moja na ile bas Vichwa vya wapenda Mziki wa Hip Hop Na Bongofleva kwa jumla vinge data maana hii Mdudu nayo ni moto wa kuotea Mbali, Mimi Nimepata nafasi ya kuiskiliza:, Chorous kapiga Babylon MrBlue, ni nouma sana, Chukua time yako kuiskia hapa kama hujaidownloa hii ni Access yako download hapa:


TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HICHO KIKOSI;

Bofya like hapa show love:

Monday, October 21, 2013

(DOWNLOAD NEW AUDIO) FREDRIGO - COME BABY:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:35 AM

Msanii wa Musiki wa R&B ambae anafanya live bandi ya show zake mjini Zanzibar,anaejulikana  Maarufu kama FREDRIGO,Leo ameachia Rasmin Joint mpya Yenye mahadhi ya Sweet raggae, Hii sio nyimbo yake ya kwanza ameshafanya Track nying sana zake na ambazo ameshirikishwa kama Chinja chinja ya ZeeTown solja na Majukum ya Kira Kiram, na baadhi ya nyengne nying zilizo hit Zanzibar:
Hii Ngoma yake yenye beat ya sweet rege ambayo ameiimbia Mahadhi ya R&B kwa Mara ya kwanza isikilize hapa:
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HICHO KIKOSI;

Bofya like hapa show love:

Saturday, October 19, 2013

(DOWNLOAD NEW)FID Q FT JUMA NATURE - SIRI YA MCHEZO

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:16 AM

CEO wa cheusidawa ameamua kutupa ile #SiriYaMchezo mzima.. Siri Ya Mchezo ndio jina la ngoma mpya toka kwa #ToRe ya Top of Rap’s Elite a k a Fareed Kubanda A.K.A Fid Q..  ndani ya ngoma hii FIDQ ameonyesha uwezo wa juu kabisa kiuandishi kiasi cha kuacha gumzo mitandaoni baada ya kuitambulisha ngoma yake ndani ya xxl kwa dakika kumi  pale mjengoni. Ngoma hiyo amemshirikishwa gwiji kutoka maandishi matatu yaani TMK  Alwatan Juma Nature  a k a RAMBO ambaye amekitendea haki kiitikio kwa sauti yake tuliyoimiss kwa muda mrefu.
Download hapa kwa mara ya kwanza: 


TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Monday, October 14, 2013

(NEW AUDIO) NASSIR VANILLA - SI UTULIE

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:24 AM

New hit song tena hii hapa, from Nassir Vanilla, Nyimbo hii iliwahi kutabiriwa kufanya Vizur tangu awali waliposikilizishwa wadau mbali mbali wa Music, Tabia ya Kuwasikilizisha wadau wakuu wa Music huu imemsaidia Nassir kufanya ngoma Kali kama hii, Kwa mara ya kwanza wanaisikiliza waliikubali na kusema hii itafanya Vizuri zaidi, Mimi nimeisikia pia its very nice Song, Chukua time kuiskiliza then usisahau na wewe maoni yako ni muhimu sana:


TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Saturday, October 12, 2013

(NEW AUDIO) MAUA SAMA - SIJIWEZI:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:54 AM

Mwanadada Maua Sama anafanya kazi chini ya uangalizi wa Lifeline/T.I.A Inc; Label ya muziki ambayo inasimamia kazi za muziki za MwanaFA .So Crazy ambao ni wake wa kwanza ambao ulitayarishwa na producer Marco Chali wa MJ Records na alimshirikisha MwanaFA.

Sasa Maua Sama ameachia Joint mpya ni kali kuliko ile ya awali Ngoma inaitwa SIJIWEZI ngoma hii imetaarishwa na Producer Ema the Boy,

kati ya Ngoma kali zilizo toka miezi hii michache za Tanzania hii ni lazima utaiweka kwenye Nafasi za mwanzo mwanzo, Isikize Then maoni yako: 

 

 

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Friday, October 11, 2013

(NEW AUDIO) MADEE - TEMA MATE TUWACHAPE

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
11:37 PM

Rais wa Manzese, Shnayda, Madee mzee wa pombe yangu, inaonekana amesha lielewa soko kila akitoa ni hit, check na hii baada ya Pombe yangu,ni Tema mate tuwachape, Producer Macko Chali pale Mj Rec,...
Isikilize hapa then utajua kama sasa kweli madee ni zamu yake: Its nice song inachezeka Club kama kawaida;

TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Wednesday, October 9, 2013

(NEW AUDIO) GOSBY FT VANESSA & JUX - MONIFERE:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
6:18 AM

Ngoma iliyokua inasuriwa ikwa hamu na wadau wa mziki wa bongo fleva, ni hii hapa kutoka kwa Gosby king of swagg T.z, ngoma amewashirikisha watu wawili Vanessa na Jux mzigo unakwenda kwa jina la MONIFERE, What he means..??? Find out on the this Track mzigo huu hapa:
Kama kawaida usisahau MAONI yako hapo chini kwa kutumia facebook yako:
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

Wednesday, October 2, 2013

(NEW AUDIO AND LYRICS) JOSE CHAMILION - TUBONGE:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
3:36 AM

Mkongwe Dr Jose Chamilion ameachi ngoma mpya TUBONGE, ni bonge ya ngoma iskize hapa chini ya Mashairi yake,

Friday, September 27, 2013

(NEW AUDIO) BERRY WHITE ft SHIRKO - VISIM SIM

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:21 AM

 
 Download hapa ngoma mpya ya Berry White mara hii amemshirikisha Shirko ngoma inaitwa Visim Sim...

TOA MAONI YAKO HAPA:

Wednesday, September 25, 2013

(DOWNLOAD MUSIC) SARAHA - MBELE KIZA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
3:18 AM

Hii hapa ngoma mpya kabisa ya mke wa Fundi samweli SARAHA ngona inaitwa MBELE KIZA download hapa:


TOA MAONI YAKO HAPA:

Wednesday, September 11, 2013

(NEW AUDIO) ISON MISTAR ft SMILE GENIUS - MUDA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
3:01 AM

Nyimbo imetengenezwa katika studio ya 6records ilio kuwepo Zanzibar . Prod...Nyimbo imetengenezwa katika studio ya 6records ilio kuwepo Zanzibar . Producer aliye tengeneza wimbo huo anaitwa M-touch usiache kudownload hi ni hits song naamini ukiskiliza ujumbe uta kugusa « Less
TOA MAONI YAKO HAPA:


BOFYAHAPA
Facebook Twitter

Monday, August 12, 2013

(NEW AUDIO) SMILE GENIUS - CHEI CHEI:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
4:27 AM

Msanii wa music wa bongofleva SMILE GENIUS bado anaendela kufanya poa sana kwenye mziki huu wa bongofleva ZANZIBAR na mara hii ameamua kuja na style ambayo kali sana ambayo ameintroduce kwenye mziki wake kwa sasa, sisi tulipata nafasi ya kuiskiliza,tukaikubali na tukatoa maoni yetu,
sasa its your time fanya kuiskiliza then wacha maoni yako: TOA MAONI YAKO HAPA:

BOFYAHAPA
Facebook Twitter
TOA MAONI YAKO HAPA:


Monday, July 29, 2013

(DOWNLOAD HAPA) SNURA MAJANGA - NIMEVURUGWA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:58 AM

Baada ya kutesa sana na kibao chake cha MAJANGA mwanadada SNURA sasa ameamua kuachia kigongo chengine kipya , mimi nakiita kigongo maana ni hatari kinaitwa NIMEVURUGWA, kwa kuimba hivi tuu huyu dada wamuuache tena, so kama vipi chukua time yako kuskiliza hiyo ngoma hapa chini au kuidownload pia: na wewe pia unanafasi ya kutoa maoni yako hapo chini TOA MAONI YAKO:

BOFYAHAPA
Facebook Twitter
YOUR COMMENT HERE:

Sunday, July 28, 2013

(DOWNLOAD HAPA) OSTAZ JUMA NAMUSOMA FT. YOUNG KILLA & MO MUSIC

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:37 AM

Yule The Bigg Boss ambae anatokea Watanashati akiwa na Watanashati akiwa yeye ndo Boss wa Watanashati "Ostaz Juma Namusoma amini usiamini sasa ameingia kwenye game la Hip Hop kwa kasi. Mkali huyo ambae ni Boss wa msanii PNC, Dogo Janja na wengine Mkali Ostaz Juma Namusoma ameamua kuingia studio na kuonyesha yeye sio tu kwamba anawasimamia wasanii lakini na yeye ameamua kuonyesha kipaji chake ambacho amejaaliwa na Mwenyezi Mungu alipoingia studio na kurekodi ngoma inayoitwa "Muziki Kazi" akiwa amemshirikisha mkali "Young Killa na Mo Muzik ngoma iliyofanywa na Lollipop..Chukua muda wako kuisikiliza ili

(DOWNLOAD HAPA) YOUNG DEE - KIJUKUU

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:01 AM


BOFYAHAPA
Facebook Twitter
YOUR COMMENT HERE:

Friday, July 26, 2013

(DOWNLOAD HAPA) STAMINA ft DARASA & WARDA - MWAMBIE MWENZIO

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
10:45 AM

 
Huyu jamaa kwa upande wangu ni mtu wa maajabu sana maana kwenye hii ngoma amechana mbaya, sijui lkn labda ni kwa upande wangu isikilize na wewe idownload the toa maoni yako na wewe umeionaje: ila STAMINA ni Hataree......read more
BOFYAHAPA
Facebook Twitter
YOUR COMMENT HERE:

Saturday, June 29, 2013

BABY J AITIKISA ZANZIBAR KWA NGOMA YAKE MPYA ft BOB JUNIOR - BOMOA BOMOA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:38 AM

Mwanamusiki kutokea visiwa vya marashi ya karafuu ZANZIBAR, JAMILA ABDALLAH a.k.a BABY J,wiki hii ameachia ngoma yake mpya aliyoirecord SHAROBARO REC, pia ngoma iyo amemshirikisha Rais wa MASHAROBARO Bob junior,
Ngoma iyo yenye siku chache tuu tangu iachiwe imekua ikizungumziwa sana, kutokana na ubora wake na hivyo kuwafanya wadau wengi wa musiki zanzibar, kuiomba ngoma hii iwekwe link wapate kuidownload kwa free na wawe nayo wenyewe pamoja na kwenye simu,, Bila hiyana Baby jay ameachia link yake na ngoma hii hapa DOWNLOAD free kabisa,..

BOMOA BOMOA NDO HABAR YA TOWN:::

BOFYAHAPA

Proudly Powered by Blogger.
back to top