FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Sunday, July 28, 2013

(DOWNLOAD HAPA) OSTAZ JUMA NAMUSOMA FT. YOUNG KILLA & MO MUSIC

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:37 AM

Yule The Bigg Boss ambae anatokea Watanashati akiwa na Watanashati akiwa yeye ndo Boss wa Watanashati "Ostaz Juma Namusoma amini usiamini sasa ameingia kwenye game la Hip Hop kwa kasi. Mkali huyo ambae ni Boss wa msanii PNC, Dogo Janja na wengine Mkali Ostaz Juma Namusoma ameamua kuingia studio na kuonyesha yeye sio tu kwamba anawasimamia wasanii lakini na yeye ameamua kuonyesha kipaji chake ambacho amejaaliwa na Mwenyezi Mungu alipoingia studio na kurekodi ngoma inayoitwa "Muziki Kazi" akiwa amemshirikisha mkali "Young Killa na Mo Muzik ngoma iliyofanywa na Lollipop..Chukua muda wako kuisikiliza ili
ujue ina ujumbe gani na usikilize uwezo wa Ostaz Juma Namusoma. Tumeshaona meneja wengi wa wasanii wameshafanya kazi za kuimba mfano Mkubwa Fella Said Fella na wengine hapa msikilize Ostaz Juma Namusoma......
BOFYAHAPA
Facebook Twitter
YOUR COMMENT HERE:

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top