FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Sunday, July 28, 2013

T.I.D ATANGAZA DONGE NONO KWA YOYOTE ATAKAE MTAJA ALIYEIBIA POWER WINDOW ZA GARI LAKE::

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:05 AM

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Khaleed Mohamed 'TID', usiku wa kuamkia leo ameibiwa vifaaa mbalimbali katika gari lake ikiwemo power window. Kupitia akaunti yake ya Facebook, TID ameandika kuwa mtu aliyemwibia atakuwa anamjua na akaahidi kutoa shilingi laki mbili kwa mtu atakayemtajia mwizi wake ambapo ametoa na namba yake ya simu.


BOFYAHAPA
Facebook Twitter
YOUR COMMENT HERE:

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top