FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Friday, October 4, 2013

(PICHA) PREZOO NA MPENZI MPYA NI MTANZANIA PIA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
8:14 AM

Mshindi wa pili wa BBA mwaka uliyopita Jackson makini a.k.a CMB  Prezoo, ambae alisharipotiwa kuwa na uhusiano na Mtangazaji wa radio Clouds Fm Tanzania anaejulikana kwa jina la Diva Loveness love ama DivaBos, Siku kadhaa zilizopita Uhusiano huo ulivunjika bila watu kutambua chanzo ni nini, alinukuliwa Diva akiandika Kwenye kurasa zake za mitandao mbali mbali ya kijamii, ya kua Hataki tena watu wacomment jina la prezzo kwenye post zake kwani tayari yeye na prezoo its done,; Kabla ya kumsikia prezoo kuzungumzia hilo tumeshaona picha za mwanadada mwengne ajulikanae kama STARLISHA ama Chagga Barbie akiwa na Prezoo.
Kwa mujibu wa mashabiki mbali mbali wamesema hayo ni majibu ya Prezzo kwa Diva kwamba akimkosa yeye basi wengne kibao wanamtaka:
 
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;

Bofya like hapa show love:

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top