FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Wednesday, February 13, 2013

MABISHANO YAZUKA JUU YA MSHIRIKI WA AMERICAN IDOLS ANAEONGEA KISWAHILI...!!!

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
4:37 AM

Mshiriki wa auditions ya american idol Sanni M'Mairura alileta mzozo wa ni wapi hasa kwao, TANZANIA au KENYA baada ya kufanya vizur na kusifiwa mpaka na majudge,..??
Mzozo huo uliibuka  katika mtandao mmoja wa kenya, siku ya Friday, 01 February 2013 14:30 ambapo wao walipost picha pamoja na video ya kijana huyo na kuandika"

"Kenyan kid thrills judges at the American Idols auditions by singing MJ's 'Who's Loving You'

  "mtandao huo wenye nafasi ya kurusu comment za watembeleaji wao, ulisababisha mabishano makubwa kuendelea kwa njia ya comment kati ya wabongo na wakenya, huku baadhi ya watanzania wakisema kwamba kenya imekua ikijipendelea kila kitu, hata kama Tanzania itakuwa imehusika hawasemi, na baadhi ya wekenya waliendelea kushikilia kwamba jamaa huyo ni MKENYA, huku wakisema wabongo kila kitu cha kenya na wao wanaijifanya ni cha kwao.. hata kama anaongea kiswahili kwani pia kiswahili c kinaongelewa kenya,...
Gosbert Mwombe Kaiza 
 kutoka dar-es - salaam TZ,alianza kwa kuandika  "Guys he got a Tanzanian mom u kenyans are so full of urselves.." akafatiwa na 
Dreám Bongo ·kutoka Fotohubz East Africa nae alijibu
 ""Haha Gosbert you noticed the omission too lol. I don't really mind that his Tanzanian background was not mentioned; after all kenya is close enough and I consider it my homeland too. But I thought it was funny because all Tanzanian blogs mentioned that he's Kenyan & Tanzanian, but here not a single mention of that""

Licha ya .Gosbert Mwombe Kaiza na wenzake wachache kujikaza kutetea hoja zao za kua Sanni M'Mairura  ana asili mbili T.Z na Kenya, walifikia hatua ya kushindwa kutokana na Wakenya kuwa wengi sana katika mtandao huo,...

Kwa kumalizia Sanni M'Mairura amekua akitajwa sana na mitandao ya Tanzania huku wakisema kua ni mkenya kwa baba na ni mtanzania kwa mama, lkn baadhi ya mitandao ya kenya imekua ikimtaja kua ni pati ya sehemu moja na wala hawaitaji Tanzania....!!!

SWALI...???
Jee tumgombee mshiriki huyu kua ni pati ya TANZANIA au tumuachie mwenyewe ndie anaejua zaidi..!!!


umeipenda hii SHARE
Facebook Twitter

then comment

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top