FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Wednesday, February 13, 2013

SAKATA LA UJAUZITO WA MSANII DORICA...!!!UWEPO WAKE DAR WAHUSISHWA...

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
7:26 AM

Baada ya muda mrefu kupita na kuwa kimnya kwa msanii DORICA, habri zilizoibuka ni kwamba kwa sasa ni mja mzito hivyo ndo maana hata mambo yake ya kimuzik yamepungua, akipiga story na mdau wetu mtu aliyedai kwamba ni mtu wake wa karibu ambae pia alikana jina lake kutajwa alisema kua msanii dorika anadalili kubwa za kua ni mjamzito,alipotakiwa kusema dorika yuko wapi ili tuende tukahakikishe
""sku izi znz hayupo ameenda dar kujificha ukikua ujauzito wake usiweze kuonekana na watu wa hapa znz"" kilisema chanzo hicho...
wachafu inc ilimtafuta dorika na kufanikiwa kuongea nae...
Aliposomewa mashtaka yake dorica alikana na kusema mimi sina ujauzito, hao wanaosema sijui habari hizi wamezipata wapi...!!! alipoulizwa mbn dar sana au ndo kujificha ama vip...
""dar mm huku nipo chuoni (kampala international university ya dar) pia nafanya kazI ya modeling, so nafkir kuja zanzibar ni mara moja moja tuu, na sI kama nimekuja dar kuficha ujauzito huku, bado mapema kuwa na ujauzito,muda haujafika niki plan na my baby then tutatafuta mtoto ila kwa sasa ni bizness na studies tuu""


watu wangu nawapenda sna na wasubiri ujio mpya kutoka kwa dorica nawajue pia kua ninae mpenz wng mume wng na laaziz wangu
ila pia lisemwalo lipo kama halipo lajaaaaa mmmhh na wapunguze uzushiiiiiii....!!! alimalizia DORICA...!!!


umeipenda hii SHARE
Facebook Twitter

then comment

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top