Msanii wa kike kutoka pande za nairobery kenya SIZE 8, alikua na interviews juzi kati katika media moja huko nchini kenya, moja ya maswali ambayo aliulizwa na alitakiwa kuyajibu ni ""mama ake mzazi anachukuliaje kwa yeye kuvaa vimin(viguo vifupi sana) wakati akiwa on satage""? SIZE 8 kwa mbwembwe akijibu swali hilo alisema ""mama angu huangalia karibu maonesho yangu yote na pia videos ambazo natoa na yeye ni mkosoaji mkubwa wa video hizo but She doesn’t mind me wearing miniskirts or dresses,lkn pia ikiwa ni mbaya she always points it out"" waadau kibongo bongo niaje hivi viguo vya wasanii wetu wa kike, au ni poa wapo kazini....!!!???
umeipenda hii SHARE
then comment
0 comments: