FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Sunday, November 3, 2013

WADAU WAPENDEKEZA KUWEPO NA DIAMOND PLATNUMZ DAY:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:52 AM

Kuna uwezekano mkubwa kwamba Diamond Platnumz ni mmoja kati ya Watu waliyo washtua Vijana wengi kwenye maswala ya Mapenzi Kwa wazazi wao hasa mama,  jinsi ya kutokata tamaa kutokana na maisha magumu, na mengine hii yote imetokana kwa uwazi wa maisha ya Diamond Platnumz, Ambao kila mmoja anauelewa tangaua alivyoanza na mpaka sasa alipofikia,
Mmoja kati ya wajasiriamali wa Tanzania anaeishi U.S.A kwa sasa Mohammed Don a,k,a Shangrellah1988 kupitia account yake ya Instagram aliandika kwa kuweka suggetion hilo la hoja ya kuwekwa DIAMOND PALATNUMZ DAY, ya kila mwaka aliandika hivyo.wakati akisifia Juhudi za Kijana Diamond:
Bila ya hiyana kwa kukubali love kutoka kwa Jamaa huyo alijibu Kupitia hapo hapo kwa kuandika:
Swali ni je Unafkir Diamond amewakomboa Vijana wengi Kimawazo Pamoja na kujitambua na je upo umuhimu wa kuwepo kwa DIAMOND PLATNUMZ DAY kila mwaka?????? Mawazo yako Please weka hapo chini-:
TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

Saturday, November 2, 2013

(OFFICIAL VIDEO) BERRY BLACK FT ALI KIBA - ISHARA ZANGU

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:34 AM

New Video ya mfalme wa Bongo Fleva Zanzibar, Berry Black Hii hapa, imeachiwa  Online Premier, Kama bado hujabahatika kuiona icheki hapa, uone mtu mzima Berry Black Alivyoamua Kufanya kweli, ngoma inaitwa Ishara zangu ,Audio yake ilisha Toka amemshirikisha Ali kiba:
Now chukua Time yako sasa kuiangalia Video, Director Mejja, Audio Akhenato rec kwa Lil ghetto:
Nouma sanaaa humo ndani: Usisahau kuacha maoni yako kuhusu video hii:::

TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

(PICHA) HII KALI MAITI WAFUFULIWA KUBADILISHWA NGUO:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:35 AM

Nchini indonesia katika kijiji cha Tana Toraja, maiti huwa zinafufuliwa na Kubadilishwa nguo, zoezi hili hufanyika kila mwaka baada ya maiti kuzikwa, na wanafamilia ndio huifanya kai iyo;
Mara nyingi mtu anapo kufa huwa wanamzika katika sehemu aliyo zaliwa na sio aliyokufia so kila baada ya mwaka humfukua na kumbadilisha mavazi, hii ni moja kati ya mila zao wenyewe:
Duuh hii nouma sana mimi kwa hapo neno sina khaa!!!
TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

(download)REC P JUNIOR FT SPINCE SESEME - NAKUPENDA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:40 AM

Skiliza na Download hapa ngoma ya Rec P junior aliyoifanya na Spince Seseme inaitwa na Nakupenda sana:
Chukua time yako kuiskia hapa kwa mara ya kwanza:

Tuesday, October 29, 2013

RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MZEE SEPETU:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:28 AM

 (Habari imetoka Cloud112.blog)
''Habari zenu ndugu zangu, i hope mmeamka salaama salamin, kwa wale wagongwa allah atawaafu inshaallah:
Tangu juzi nimekua nikishare na nyinyi taarifa za Msiba wa Baba Mzazi wa Mwanafilamu mwenzangu WEMA SEPETU mzee ABRAHAM SEPETU:
Taarifa hizi nazipata kutoka kwa Ndugi wa Karibu wa Wema Sepetu ambae ni Binamu yake anaeitwa RAY ambaye ni Mkurugenzi wa Bendi ya Cococnut Zanzibar;
Ratiba YA Mazishi yatakavyo kua Kisiwan Zanzibar:
''Maiti itaondoka na Boti ya Kesho Asubuhi kuelekea Zanzibar na Kufikishwa Moja kwa moja kanisani kwa misa fupi kisha baraza la wawakilishi la Zamani, kwa waheshimiwa kutoa heshima zao za mwisho.Baada ya hapo msafara utaelekea nyumbani kwake Mbuzini kwa ajili ya Mazishi:''
kama kuna chcochote kitakacho badilika tutajulishana hapa hapa:
Ahsanteni Endelea kutembelea blog hii na Uwaambie wengine pia: ''
R.I.P Mzee Abraham Sepetu
TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

Monday, October 28, 2013

(NEW AUDIO)ALATISH MABAWA - SHULALALA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
8:57 AM

Kachaa wa miondoko ya Bongofleva Visiwani Zanzibar Ambaye watu wengi wanaamini ana ladha ya aina ya peke yake ambayo imekua ngumu kuigwa na msanii yoyoyte, hapa T,z, Kijana anajulikana kama Alatish Mabawa a.k.a Kibogo yao, now ameachia Mzigo mpya ambao kwa mujibu wa maneno yake amekuja kuwanyamazisha  wanaopiga piga kelele tuu, Now chukua timu yako kuiskiliza Ngoma hii ya inaitwa Shulalala, ni balaa sana humu ndani daah you did it mabawa:


TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

PICHA ZA SMILE GENIUS SHOW YA BASHASHA JANA CLUB BILLCANAS:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
5:26 AM

Jana ilikua ni siku ya Burudani kali tuu, kwa wale wapenzi wa musiki wa Bongofleva Ambao walifika jana Club Billcanas, watakubaliana na mimi,Bob Junior alikua anazindua Rasmi Nyimbo yake ya BASHASHA, Na wasanii kadhaa wa kadhaa walikuepo kumpa Support, akiwemo Kijana kutokea Zanzibar Smile the Genius Ambaye mashabiki walifurahia ujio wake kwenye stage, hasa pale alipo gonga ngoma ya Kichefuchefu ambayo ndio ilikua midomoni mwa mashabiki wengi usiku wa jana, Performance ilikua nzur sana check some picture of Smile Genius on stage:




TUMIA FACEBOOK KUTOA COMMENT HAPA:


Bofya like hapa show love:

(VIDEO) HIVI ULIONA HII VIDEO YA AZMA ALIVYOWACHANA JAMAA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:56 AM

Wanasubiri Nife is from the album ATHMA(AZMA) ATTACK which will be released later this year.
Music video Directed by Wynjones Kinye (c)2013 KINYE MEDIA.
Audio produced by Double (Glory Records)

Sunday, October 27, 2013

HISTORIA FUPI YA MAREHEMU MZEE ISSAC SEPETU:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
3:19 AM

Hii ni historia fupi na nyazifa alizowahi kushika Baba wa Msanii Maarufu wa Filamu Wema Sepetu Marehemu Mzee ISSAC SEPETU,(pichani)
Jina kamili ISSAC ABRAHAM SEPETU aliwah kusika nafasi ya Ubalozi na ndio maana ni maarufu ka aBalozi Sepetu:
Balozi Sepetu aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje mnamo miaka ya 1970 wakati wa utawala wa awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Julius Kambarag Nyerere.  Vilevile, aliwahi kuwa balozi nchini Urusi tangu mwaka 1982 wakati wa utawala huohuo wa Nyerere.
Pia, Machi 27, mwaka huu, Balozi Sepetu aliteuliwa na Rais wa Zanzibar, Dr Mohammed Shein,  kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitegauchumi ya Zanzibar (ZIPA).
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.

R.I.P ''ISSAC ABRAHAM SEPETU''

TOA POLE ZAKO HAPA KWA FAMILIA MZEE SEPETU:


Bofya like hapa show love:

Proudly Powered by Blogger.
back to top