UJUMBE WENYEWE NI HUU
""Kila ninapowaza nikufanyie kitu gani naona
kama kidogo hakitoshi kwa jinsi shida,tabu ulizozipata
katika kunilea hadi leo kufikia hapa...ni Matatizo mengi sana, tena Saana hadi kila
niyakumbukapo najikuta ghafla machozi
yananitoka...tazama hata hapa najikuta nakosa
cha kukiandika maana kila niliandikalo naona kama bado halitoshi
kuelezea Hisia, Upendo, Thamani na Heshima yangu Kwako... Nakupenda
sana Mama yangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu
yenye Afya na furaha ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao, Maana Bila wewe
Mbele kwangu ni kiza... Happy Birthday Mama Nasibu ""
0 comments: