FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Saturday, July 6, 2013

BABY J AELEZEA KWANINI ALIVAA BAIBUI LA KAMBA TAMASHA LA ZIFF ZANZIBAR

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
9:43 AM

Msanii wa kike anaesumbua sana katika tasnia ya musiki wa bongofleva kutokea visiwa vya ZANZIBAR TANZANIA “JAMILA ABDALLAH” A.K.A BABY JAY Juzi aliwapagawisha fans wake katika tamasha la ZANZIBAR INTERNATIONAL FILM FESTIVAL (ziff), pale alipo panda kwenye stage akiwa amevalia Baibui la asili ya MZANZIBAR (kwenye picha),kitu ambacho hakuna ambae alitarajia kukiona kutoka kwake:

Kitu ambacho kilisababisha watu washangirie sana, na kufurahishwa na utofauti wa show hiyo, licha kua watu walifurahia lkn GLM tulitaman  kumsikia mwenyewe ni kwanini aliamua kuja kitofauti sana,

Akizungumza na GLM baada ya kushuka kwenye stage BABY JAY alisema

” unajua ile ilikua TRIBUTE OF BI KIDUDE so pale nilikua naimba nyimbo zangu lakin pia nilitakia kuperfom “muhogo wa jang’ombe” ya marehemu Bi Kidude so nikatizama hata  kivazi kitakacho kua suitable kwa ajili ya show ile, nikagundua ni baibui la asili.”"

GLM pia ilitaka kujua ni lipi ilo baibui la asili ya MZANZIBAR, Alipotakiwa kueeleza baibui la asili ni lipi aliendelea kwa kusema

“”Baibui la asili maarufu km baibui la kamba ni baibui ambalo hata  marehu Bi kidude mwenyewe alikua anapenda sana kuvaa,ni asili ya wazee wetu zamani hata walipo kua vijana walikua wanavaa, licha ya kua now days vijana wa kike si sana kuvaa mabaibui ya aina hayo”:

HONGERA BABY J ULIFANYA POA SANA KWENYE STAGE:
BOFYAHAPA
Facebook Twitter

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top