|
DIAMOND |
Msanii nguli T.z NASEEB ABDUL "diamond platnumz" amesema aliutunga
wimbo wa mawazo baada ya baby jay, kumwambia amtungie nyimbo, Baby jay
ambaye ni msanii anaeiwakilisha zanzibar vizuri alikua na ukaribu mzuri
tuu na mpenzi wa enzi izo wa diamond ambaye ni Jack wolper,diamond
aliyasema hayo alipokua akizungumza na kituo kimoja cha T.V nchini TZ..
|
BABY JAY |
Diamond
akaendelea kutoa story hiyo kwa kusema kua baada ya kukutana na baby
jay na kumuomba ilo, alikubali na kumtungia wimbo huo ambao ulikua
kwenye feelings zake kutokana na matatizo madogo madogo na mpenzi wake
wolper, cha ajabu baada ya kupatia baby jay wimbo huo,bi baby jay
aliukataa na kumwambia eti anatakiwa kuimba wimbo mwengne so diamond
kuona ivyo yeye ikambidi auwimbe mwenyewe,.na leo ndio ambao
umemuingizia ela nying sana..
|
BABY J n DIAMOND |
Kuthibisha ilo WACHAFUIC
ilishawahi kuongea na baby jay naye pia alikubali km wimbo ule alitakiwa
kuufanya yeye lkn hakutoa sababu zake kwanini hakuufanya,..
Katika
uchunguzi uliyofanywa umebaini ya kwamba baada ya mambo hayo kupita
baby jay na diamond walitumia beat moja kuimbia nyimbo mbili tafauti
moja ikiwa "mawazo" na "nikwambie" aliyoimba baby jay ambayo nikwambie ilifanya poa lkn c zaidi ya mawazo...
0 comments: