Akizungumza
na XXL mwanamusiki OMMY DIMPOZ alizungumzia tukio la yeye kurushiwa makopo
stejini mjinio Dodoma lakin zaidi alizungumzia kauli ya aliyoitoa wakati wa
Tuzo za kili
“”imeenezwa
chuki kwamba mimi nimemtukana marehemu Albert kitu ambacho sio kweli,
nimejaribu kukieleza kwenye media mbali mbali, kuwa si kweli, wametumia kauli
yangu niliyoongea kupitia Kili siku ya TANZANIA MUSIC AWARDS, wakati kitu
nilichokiongea ni tafauti na na kitu kilichokuja kupandikizwa, lakini mi najua safari ya mziki ni ndefu,
na mwenyezi mungu atajaalia tu haya mambo yatakwisha kwasababu hata yeye
mwenyewe anajua sina kosa, sija mkosea mtu wala sina tatizo na mtu, nafanya tu
maisha yangu ya mziki, lakini inapofikia time unajua mtu mwingine anaweza akaja
tu na sababu zake binafsi kwa nia ya kukuvuta shati, lakini kama mungu amendika
njia yakonyeupe basi itakuwa nyeupe tu, na hakuna njia iliyonyooka siku zote
lazima inakua na vikwazo kidogo, kwa hiyo naamini hii ni mitihani tu itaisha
kwasababu sina tatizo na mtu. nachoamini binaadam tunakufa pengine roho pengine
zinabaki zina hang, hata marehem mwenyewe naimani anajua kwamba
sikumtukana...................hii ni challenge tu naichukulia kwangu, pengineni mitihani
kwasabau sijawahi kuipata na ku
experience katika maisha yangu ya mziki hiki ni kitu kikubwanimekutana nacho
kwa sasa, lakini naimani itakwisha.””
hivyo
ndivyo alivyofunguka Ommy Dimpoz
0 comments: