Rapper anaeamini kua yeye haishi mjini kwa kutegemea mziki,the true boy NAY WA MITEGO,amesema hana mpango wa kuujibu wimbo wa NIKKI MBISH unaomdis yeye mwanzo mwisho kwa kua NIKKI anatafuta pa kutokea,, kwa mujibu wa mtandao wa BONGO5 T.Z wameandika, NAY amegoma hata interview yoyote ambayo itamtaka aongelee suala hilo au kumuongelea nikki mbishi,ameongea na mtandao huo kwa kua kisu kimegonga mfupa tuu, licha kuwemo kwa mistari kadhaa ambayo imevujishwa na NIKKI kwenye facebook na twitter kama ""ney wa mitego, anagawa ndogo kama gey mwenye pepo""" , nay ameongezea kwa kusema
""mimi huwa namuimba mtu kwa kitu ambacho kila mtu anakiona na ndo maana nimekua na mashabiki wengi kwa sababu nasema ukweli.Nikisema chidi benzi katoboa pua ni kweli katoboa pua, Sijawahi kumuimba mtu kwa matusi au nini kwa iyo siwezi kubishana na mtu wa aina hiyo.Kwanza hajulikani, hajui anafanya nini, kwanza yeye mwenyewe hajielewi, kujielewa hakuna mwanamme anasuka Ulaya wenyewe walishaacha, mtu wa disign hiyo ni mtu ambaye hata nauli ya kwenda studio hana, ana matatizo""
umeipenda hii SHARE
then comment
0 comments: