
Na Shakoor Jongo
VIDEO Queen ambaye ni maarufu kwa jina la Halima ‘Baby Candy’ na mjasiriamali Bonitha, walinaswa wakichanganya vinywaji vikali vilivyosababisha walewe tilalila ndani ya muda mfupi.

Tukio hilo lilipigwa chabo na paparazi wetu hivi karibuni maeneo ya Mikocheni, jijini Dar katika sherehe ya kuzaliwa kwa rafiki yao ambapo wawili hao walionekana wakifakamia pombe hizo kwa fujo huku wakiuita mchanganyo huo ‘cocktail’.


0 comments: