Nairobi Senator Mike Sonko ambae amekua gumzo sana kutoka na style za mavazi yake, pamoja na kuwa na mikato ya nywele tofauti tofauti km kijana mwengne, kitu ambacho kina muweka tofauti na wabunge wote wa Afrika hii ambao umewah kuwaona wewe,
Kikubwa kwa senetor huyun ni licha ya kua ivyo alivyo(bling bling) akisimama na kusema kitu watu wote wananyamaza na kumsikiliza licha kuvaa bling bling na hereni, bado anaheshimika vilivyo Jijini Nairobi:
Angalia hii ndio picha ya Style yake mpya ya nwele zake:
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;
0 comments: