Miss 2006 ambaye kwa kipindi sasa amekua akifanaya filamu WEMA SEPETU a.k.a MADAME, Juzi kati alipost picha ya gazeti lililo muandika kama amekamatwa na Unga Nchini China na amehukumiwa kunyongwa, Kitu ambacho alikithibisha kua sio kweli na kulilamikia sana gazeti lile kwa kuandika habari za uongo huku akiomba aache afanye maisha yake mbn wanamuandama. alihoji wema::
Angalia na haya Magazeti mawili ya leo wameandika tena kuhusu wema sepetu:
Katika kile kinachonesha kuwa Wema ni Pambo la magazeti ya Udaku,(hawawezi kuuza bila yeye) ama ni kwa vile anavyovifanya yeye ndio vinasababisha aandikwe???
Hili kazeti la Risasi limeandika Uchafu wa wema na Aunt China NI huu!! Picha iliyowekwa ni ile ambayo watu wengi waliiona wakipigana mabausu yeye na Aunt, Hope full waliiweka baiana ya wawili hao:
Hili gazeti la SANI Wema atikisa ndoa ya Bob junior kwa hili la sani sina ufafanuzi nalo sana cha msingi Nunua ukalisome then, utajua kama Wema huwa anasingiziwa, wanamzidishia, ama ni maisha yake tuu anaish free atakavyo ndio tatizo?????
TOA MAONI YAKO HAPA:
KWA MTAZAMO WAKO WEWE UNASEMAJE KUHUSU HILI;
0 comments: