FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Tuesday, August 6, 2013

TELEVISION ITAKAYO ONESHA EPIC BONGO STAR SEARCH MWAKA HUU NI HII HAPA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
6:03 AM

The creator and a Chief Judge to Epiq Bongo Star Search, RITA PAULSEN maarufu Maadam Rita, amehabarisha tarehe pamoja na kituo ambacho kitaonesha mashindano hayo ya Bongo Star Search,
Madam rita kupitia account yakeya Facebook leo mapema aliandika
""Epiq Bongo Star Search itaanza kwenda hewani kuanzia Jumapili tarehe 11, Agosti 2013 kupitia kituo cha Television cha TBC1. Itaonyeshwa kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio yataonyeshwa kila Jumatano saa 8:00 mchana."" 
Aliandika madam rita na mwisho aliwataka mashabiki wa mashindano hayo kutoa maoni yao juu ya mabadiliko ya wanayopendelea yatokee kwenye kipindi hicho chenye mvuto sana kwa wanajamii:

je na wewe Ungependa uone mabadiliko gani kwenye kipindi?
jiachie na hapa hapa kwa maoni yako juu ya uwamuzi wa kuwekwa kwenye TBC1::

BOFYAHAPA
Facebook Twitter
TOA MAONI YAKO HAPA:

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top