Wakaazi wa zanizibar mjini na maeneo ya jirani wao pamoja na Familia zao wanatarajia kuadhimisha skukuu zao zote nne ndani ya Viwanja vya ZANZIBAR BEACH RESORT, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa BOND ENTERTAINMENT mr HASSAN BOND amesema wamechukua muda mwingi sana kuhakisha wanaandaa mazingira mazuri ya kusherehekea skukuu kwa wakazi hao, na pia kuwaandalia vifaa ambavyo nibora zaidi kwa watoto(PEMBEA/BEMBEA) kuchezea, kuogelea kwenye POOL huku wakisindikizwa na music mzuri wa aina yao, lkn pia mida ya watu wazima kutakua na Disco la nguvu ambalo litashushwa na MaDJ wakali na Maarufu wa mjini ZANZIBAR, kwa mujibu wa Mkurugenzi huyo hii SI ya kukosa kabisa, tukutane EID ya kwanza mpaka ya nne pale pale ZANZIBAR BEACH RESORT:
USISEME HUNA PLACE TO GO NJOO TULE SKUKUU PAMOJA:
USALAMA WAKO PAMOJA NA MALI ZAKO NI WA UHAKIKA:
BOFYAHAPA
TOA MAONI YAKO HAPA:
0 comments: