SAVE THE CHILDREN IMEUNGA MKONO SIKU YA MTOTO WA AFRICA ambayo kitaifa itafanyika ZANZIBAR chini ya organization isio ya kiserekali ya "ZANZIBAR LIGHT ENTERTAINMENT ORGANIZATION zleo" ambapo pia siku hiyo itashereheshwa na michezo mbali mbali na baadae usiku kufanyika burudani ya ukweli ndani ya ukumbi wa NGOME KONGWE,..RED CARPET ya asili ya muafrika itahusishwa pia unaijua ww, usikose kuja kushuhudia...!!
Mr. MUBARAKA kutoka Save the Children, amesema
""Tunafuraha furaha sana kuona Zanzibar kutafanyika sherehe za siku ya mtoto wa Afrika., kwani ni siku ambayo kilaMwafrika anapaswa asherekee siku hii, watu wengi tumetawaliwa na mawazo kuwa mtoto wa Afrika ni yule ambae amezaliwa jana na leo, lakini sivyo bali kila alozaliwa Afrika ni mtoto wa Afrika hata kama ni mzee au kijana basi wewe ni mtoto wa Afrika hata yule ambae ametangulia mbele ya haki lakini alizaliwa Afrika basi nae pia"".
Siku ya tarehe 16/6/2013 itakuwa ni siku kubwa sana hapa kwetu ZANZIBAR na Afrika kwa ujumla watu wote wanaombwa kufika mapema pale Ngome Kongwe ili kuona Vipaji vya AFRIKA.
0 comments: