Mwnahiphop kwa sasa naweza kupanua domo na kumwita ivyo,Mkali "KALA JEREMIAH" jana usiku alieka hisytoria mpya katika maisha yake ya musiki baada ya kuwa garagaza wasanii kibao wakongwe na wapya kwenye tuzo za #KTMA, wimbo amabao ulimpatia tuzo hizo 3 ni "DEAR GOD" licha ya kuwa ni wimbo mzuri lkn pia ni wimbo wa maombi ambao aliyapeleka kwa mungu wake na jana maombi yamejibiwa..
Leo mapema kala alitoa shukrani zake kupitia ukurasa wake mtandao wa kijamii FACEBOOK..
KALA anatiririka hivi-:
"JANA
ILIKUWA SIKU KUBWA SANA KWENYE MAISHA YANGU. KUPOKEA TUZO 3 KWA MPIGO
NI ALAMA YA USHINDI.MUNGU KASIKIA KILIO CHETU.NATAMANI NIONGEE FURAHA
YANGU ILI NA WE UJUE ILA TATIZO FURAHA YANGU HAIZUNGUMZIKI.NIMEFURAHI
SANA
ASANTE MUNGU KWA HILI SHAVU JINGINE
ASANTENI SANA MASHABIKI WANGU KWA KUNIFANYA MFALME NAWAPENDA SANA
ASANTENI VYOMBO VYOOTE VYA HABARI BILA NYINYI SIWEZI
ASANTENI SANA WAAANDAAAJI WA TUZO HIZI KILIMANJAARO TANZANIA MUSIC AWARDS. MMEIBADILISHA HISTORIA YA MUZIKI WANGU
ASANTE SANA MADAME RITA NA BSS KWA UJUMLA KWA KUIBUA HIKI KIPAJI
ASANTE PRODUCER WANGU DEE CLASSIC KWA MDUNDO WA DEAR GOD
ASANTENI SANA WASANII WENZANGU KWA KUNIPA USHIRIKIANO
KATI YA WATU WALIYOONYESHA FURAHA ZAO ZA AJABU SANA NI PAMOJA NA JOKATE
MWEGELO KIDOT AMBAYE HUWA SIKU ZOTE YUKO UPANDE WANGU SANA. PIA SHILOLE
AMBAYE ALIBAHA KWA FURAHA NA MARAFIKI WENGINE.
NASEMA ASANTENI SANA. MBARIKIWE."
0 comments: