Mwanamusiki mkongwe Tanzania Sir Kibla Juma Nature ameachia kichupa cha ngoma yake mpya "HAIPOTEI", Juma nature amesema video hiyo alitakiwa awepo TUNDA MAN lkn hakutokea bila sababu yoyote pia amesisitiza kua mara nyingi hupenda kufanya nyimbo peke yake bila kumshirikisha mtu kwa sababu kama hizi za msanii anashindwa kufika location.. lkn hata ivyo icheki mwenyewe VIDEO then utaona kama SIR KIBLA ni jeshi la mtu mmoja...!!!!I

0 comments: