Kundi ambalo limekuwa likitikisa nchini Kenya Necessary Noize ambalo
lilipotea kwa muda katika tasnia ya burudani Africa Mashariki limerudi
kwa kishindo kwa kuachia kichupa kipya "Bring Back The Noize" ambacho
kimelirudisha upya kundi hilo katika chati.
Kundi hilo linalounganisha vichwa hatari kama Wyre, Nazizi na Bamzigi ambao walitengana na kila mmoja kuchukua njia yake wakifanya kazi zao binafsi kama solo artists, hivi sasa wamerudi tena pamoja na kuachia kibao hicho kikali kabisa chenye miondoko ya ragga/ hip hop hybrid style.
Usiache kucheki kichupa hicho kipya kabisa kupitia runinga yako "Bring Back The Noize".
Toa Maoni Yako Hapo Chini!
0 comments: