FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Tuesday, April 30, 2013

QUEEN DARLEEN ''QD'' AWACHANA LIVE WAANDAAJI WA TUZO TANZANIA..!!!

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
11:10 AM

 Katika kile kinachoendelea kila siku ikifika wakati wa tunzo za kill music awards ni lazm itokee malalamiko ya hapa na pale mara hii wamelalamika weng ikiwemo ROMA, pamoja na mwanadada QUEEN DARLEEN..
 Mwanadada huyo anaesumbua na ngoma ya acha kokoro QUEEN DARLIN waandaaji wa TUZO Tanzania, Aliwachana kupitia facebook page yake na alisema maneno haya, huku akiwahirikisha mashabiki wake....!!!

MMMhh Jamani Nashindwa Kuamini Nlipokua Naulizwa Na Pia Baadae Watu Walioshiriki Katika Kili Awardz Academy (Watangazaji,Madjz,Waandishi Wa Habari & Wadau Wengine) Kulazimisha Kuwa Wimbo Wangu Huu Ambao Umeniweka Juu Sana ACHA KOKORO kudai Eti Umetoka Mwaka Huu 2013 Dah Nashindwa Kuamini Sasa Acha Niwajibu Hata Kama Hawajaniweka Ktk Tuzo Wimbo Wangu Huu Audio Yake Ilitoka August 18 2012 Na Video Guyz Mkiangalia Hii Album Ya Picha Zangu Wakati Nafanya Video Na Adam Mtaona Nimefanya Oct 2012...Sasa Dah Ha ha ha...Wamelazimisha Iwe Ya Mwaka Huu Haya Walivyotaka Wao Nashukuru..Ila Nimeamini Kuwa Baadhi Ya Washiriki Hawakuwa Na Upeo Na Kufatilia Ngoma Zinapotoka Ktk Radio Na Tv...DONEEEE...Haya Tuone Tuzo Za Mwakani 2013-2014 Je Itakuwepo?...Ni Hayo Tu...Nawashauri Kili Awardz Mjipange Sana Wachaguweni Wanaojua Hasa Mziki Ktk Academy Yenu....Queen Darleen QD.
BOFYAHAPA
Facebook Twitter
Toa Maoni Yako Hapo Chini!

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top