FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Thursday, February 14, 2013

UNAJUA HIP HOP...? JIUNGE NA "ZANZIBAR FREESTYLE COMFRENCE" KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI...!!NI BALAAAAA

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
3:12 AM

Zanzibar frestyle confrence ni kilinge cha kutoa freestyle live live,  kupitia simu yako,(kama siamini hivi) watu wa sehemu mbali mbali tanzania wanakutana kwenye kilinge icho kwa kupiga namba moja kati ya hizi +255658045678 au
+255712084660 then tunakuunganisha kwenye comfrese unachagua wa kubato nae, mnachana freestyle kwa mpangilio maalum..join us kila siku ifikapo saa 5 usiku, hii si ya kukosa kama ni mwanahip hop hata kuskiliza tuu unakaribishwa sana utasikia frestyle kutoka mikoa kibao T.z, kupitia simu yako, mzuka ukikupanda tunakuruhusu, kuchagua wa kuchana nae..!!!
KARIBUNI SANA...!!!


umeipenda hii SHARE
Facebook Twitter

then comment

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top