Beef iliyokua kati ya Artist toka Goodlyfe Crew na uongozi wa club maarufu nchini Uganda ya Rouge umefikia hatua mpya. Ilianza kwa mmoja wa wamiliki wa Club Rouge,Spear Abowe kuwataka Moze Radio na Weasel TV wamuuzie Talk and Talk album after party kwa shs milioni 3 za Uganda na kukataa na kuamua kumuuzia mmoja wa wamiliki wa Club Silk….Sekyanzi kwa shs milioni 3 tu za Uganda, So kwa sasa Club Rouge imeamua kutopiga nyimbo zao club hiyo na ile offer ya waliokuwa wanapata ya kuingia bure na VIP treatment imefutwa…!
SHARE this post
0 comments: