Msanii mkongwe katika gemu ya bongo fleva ISPECTER HAROUN BABU, amesain mkataba na lebo ya hit maker wa UTAMU UTAMU prince DULLY SYKES,.. ili kuendeleza kulisukuma gurudumu la mziki hu...
Akiongea na CLOUDS FM ya jijini DAR, meneja DULLY SYKES ambaye ndio mmiliki wa studio hiyo amesema ameamua kuwa meneja wa wasanii kadhaa ambao wamefanya gemu zamani na sasa wamepotea,adhma yake ni kuwainua na kuwarejesha tena katika gemu, licha ya ispector haroun na mack d pia manzese crew watakua chini ya lebo yake na wengne wengine watafuatia, ameongeza kua tayri ispecter ameshafanya ngoma chini ya lebo hiyo, meneja huyo mpya wa ispector MR MISIFA ameongeza kua yeye pia aanatarajia kuachia ngoma yake ambayo amemshirikisha A.Y na JOKETI..amabayo itakua hewani soon as possible...!!!!
SHARE this post
then comment
0 comments: