Muandishi wa WACHAFUINC blog alipiga story na mmoja kati ya watu wanaojiuliza maswali kuhusiana na suala hilo ambae hata hivyo alikataa kutaja jina lake,alisema ""tuna mshanagaa mwenzetu skuizi ndo anauona utamu wa ndoa wakati mumewe hata hayupo yuko zake ulaya huko,..kila kukicha mapicha ya harusi yake kwenye facebook na twitter na hapo awali wala hakua akifanya ivyo""
Baada ya hayo tuliamua kumtafuta muhusika mwenyewe na akapatikana mazungumzo yalikua hivi -:
@WACHAFUINC-: "haloo hujambo bibie baby j..?
-@BABY JAY " sijambo nani mwenzangu..??
@WACHAFUINC -: mmmhhh unaongea na wachafu inc blog hapa..
@WACHAFUINC -: mmmhhh unaongea na wachafu inc blog hapa..
- @BABY JAY-: (kicheko) haya nambie kuna nini tena maana nyinyi....
@WACHAFUINC -: eehhh hapa halikosi, vip mwenzetu mbna sku izi picha nyingi sana za harusi yako ya mwaka 47 kwenye facebook na twitter, kipindi cha harusi yenyewe wala hatukiziona km hivi, zilifichwa amaaa...???

- @BABY JAY -: (kicheko tena kikubwa) "sijui hata nikujibu vip,...
@WACHAFUINC-: "chochote tuu maana sio sisi tuu na fans wako pia wanajiuliza hili swali...!!!"
@WACHAFUINC-: "chochote tuu maana sio sisi tuu na fans wako pia wanajiuliza hili swali...!!!"
- @BABY JAY-: "kwa kifupi mimi niko free na picture zangu zote kila tym, na nilikua naweka kila tym ambayo najiskia kuweka, ivyo izo labd dhana tu
na nadhani hakuna kitu chochote cha kunifanya nichague tym ya
kueka picture yangu ya harusi au ya mume wangu"'
@WACHAFUINC-: asante na tunaskuru japo kwa kifupi lkn tumeelewa..."
@WACHAFUINC-: asante na tunaskuru japo kwa kifupi lkn tumeelewa..."
- @BABY JAY -: "thanks for your call..!!"
umeipenda hii SHARE
then comment
0 comments: