Hao wote wana mziki unao waona kwenye hizi picha ni wanamziki wakali pia wamesha pata pesa katika kazi ya sanaa, kuna wenye wamesha enda kufanya show ulaya, Afrika kusin, Uholanzi hata Urekani, ila chakushangaza paka sasa hakuna mwenye yupo na gari, pikipiki ao beskeli, katika hao wa sani wako kwahii picha msani yoyote utakaemuona anatembelea gari ujuwe si lake atakua amekodi yani inasikitisha sana kuona msani mahiri kama Big Fizzo a.k.a General Fizzo ameanza muziki toka mwaka wa 1999 mpaka sasa hana gari wala nyumba, kusema kweli huu msani anastaili kuitwa YOUNG CASH Hela ?
Mwana muziki mwengine anaitwa Lolilo a.k.a Mzizi wa jiwe ameanza kazi yake ya muziki mwaka wa 2002 natoka mwaka huo amepata show za nyingi za Ulaya na Afrika, ila mpaka sasa maisha yake niyakujipakiza kwa bus na sehem anapoishi ni nyumba yakupanga. Hawa wawili tumetaja hapo ndio waa,zilishi wa muziki wa kizazi kipya hapa Burundi wenye waisha toka sana kimuziki, ila kuna baadhi ya wasani wana hits kwasasa kuna YOYA, HAPPY FAMBA, THE COUSINS, SAT-B, MKOMBOZI, BLACK na T-MAX na wenginewo read more....
….
SHARE this post
0 comments: