FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Thursday, March 14, 2013

2FACE IDIBIA ALAZIMIKA KUONESHA NYETI ZAKE BILA KINYONGO..!!

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
4:20 AM

Msanii kutokea nigeria 2FACE alilazimika kuonesha nyeti zake mbele ya wageni  kibao, walio hudhuria katika harusi yake ya kimila.., chanzo chetu makini kimehabarisha kwamba, kutokana na mila hiyo inamlazimu mtu yoyte anaetaka kuoa, atoe uume wake mbele ya hadhira hiyo maalum ili wakwe na watu wengne wajiridhishe kua wanae mpa mtoto wao ni mwanamme kamili,,na ni lazima aushike kwa mkono wake wa kulia na kuuonesha mbele yao,2face alifanya kama mila inavyotaka bila hata kua na uoga ili mradi asikose mke....
mmmmhhhhh thus gud...
umeipenda hii SHARE
Facebook Twitter

KHAMIS HK (Writer)

My Phone Number :+255718109106,

  • My TWITTER
  • My FACEBOOK

  • 0 comments:

    Proudly Powered by Blogger.
    back to top