FILM TRAILER CLOUDS 112 (DR MAX)

NEW VIDEO FREDRIGO - NAJIULIZA

Thursday, November 21, 2013

HUYU NDIE MSANII WA KIKE ALIYE TANGAZA KUUZA NGUO ZAKE;

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
6:07 AM

Msanii wa kike nguli kutokea visiwani zanzibar anefanya music miondoko ya Bongofleva Jamila Abdallah AKA Baby j, ametangaza kuanza kuuza nguo zake mwenyewe, kupitia ukurasa wa page yake ya Facebook Msanii huyo aliandika kuhusiana na kuanza biashara ya kuuza nguo ambazo zitakua zikitoka hapa nchini na nchi za nje,msanii huyo anaemiliki blog yake mwenye yenye shehena ya nyimbo zake Iambabyjay.blogspot.com , Baby j amesema music ni pati ya maisha yake lkn pia...

WOLPER AWAJIBU WANAOMSEMA ANAJIONESHA KI FEDHA:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:51 AM

MWIGIZAJI na mtayarishaji wa Filamu Swahiliwood Jaqueline Wolper ‘Wolper Gambe’ amesema kuwa ni mtu mwenye mapenzi kwa wengine wanaokumbwa na matatizo katika jamii mara nyingi amekuwa akisaidia watu kwa kutoa michango kwa wale walio na matatizo na wanahitaji msaada basi yeye uguswa na kuwasaidia. Wolper amekuwa mstari wa mbele katika harambe mbalimbali hasa pale anapooalikwa na kudhuria katima matamasha yanayohusu wasanii na hata wale ambao si wasanii...

EXCLUSIVE KUHUSU MINI ZIFF 2013 NA FILAMU ZA BONGO:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:43 AM

MINI ZIFF 2013 inafanyika sambamba na Sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Tamasha hili dogo litafanyika tarehe 10 -12 Jan, 2014 na kama kawaida ZIFF itatoa tuzo 10 za Filamu kwa waliofanya vizuri kwa mwaka 2013 katika filamu za Kiswahili (Bongo Movie). Tuzo zitakazotolewa ni Muigizaji Bora wa Kiume na Kike, Muongozaji Bora, Filamu Bora ya Mwaka, Muigizaji anayechipukia, Filamu bora katika Sauti, Filamu bora katika Hadithi, Balozi bora wa...

Saturday, November 9, 2013

HIZI NDIO SIMU MPYA ZA iPHONE ZINAZOWEZA KUPIMA JOTO RIDI

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:58 AM

posted by TimeFm Inder Singh ameutumia ugonjwa wake wa ini kama fursa ya kugundua kitu kipya na kikubwa katika dunia hii, ambapo sasa toleo jipya la simu aina ya iPhone halitatumika tu kutoa taarifa za kibenk, kutuma na kupokea pesa ama kuperuzi mitandao. Ugunduzi wa Inder Singh unaiwezesha simu aina ya iPhone (toleo jipya) kuweza kutumika kupima jotoridi la mwili kama kipimajoto cha hospitali (thermometer) na hivyo kuwawezesha wazazi kujua...

HARD MAD AMJIBU JIDE KWENYE YAHAYA ''NAISHI GHETO''

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
12:06 AM

 Msanii Hard mad amewaokoa mAYAHAYA wengi waliyoimbwa na mwanadada Lady Jide, baada ya kuachia hii ngoma ikiwa imejibu maswali yote aliyo uliza Jide kwa Yahaya: ''Jamanii tel jide me no beef no one, naishi ghetto Maskani kweli kinondoni no trouble no one'' Maswali ya Lady jay dee kwenye Yahaya yamemgusa hard mad na kuamua kujivika u- yahaya na kumjibu kupitia ngoma hii yan Naishi Gheto: iskize hapa tumekuekea: Japo kua mpaka sasa bado haijatambulika...

Thursday, November 7, 2013

BEBE COOL,BOBY WINE WARUDISHA FADHILA KWA JAMII

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:04 AM

 Picha/habari  EATV Wasanii wakali kabisa wa Uganda, Bebe Cool pamoja na Bobi Wine kwa nyakati tofauti wameendelea kuonyesha mioyo yao mikunjufu kwa kurudisha fadhila kwa jamii kwa njia za misaada mbali mbali ambayo wameendelea kuitoa kwa wananchi wa Uganda waliopo katika mazingira magumu. Bebe Cool ameonekana hivi karibuni akiwa katika shughuli nzito ya kupakia mzigo wa simenti pamoja na maji safi ya kunywa kwa ajili ya msaada...

SARAHA AWAOMBA KURA WATANZANIA KWENYE AWARDS:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:57 AM

Msanii wa muziki wa Bongoflava ambaye anaiwakilisha vizuri Tanzania nje ya mipaka ya nchi, Sa Raha amepata shavu la kuingia katika mashindano ya muziki ya kimataifa yanayofahamika kama Global Rockstar - Music Contest 2013, ambayo yanapambanisha zaidi ya wasanii 73 kutoka nchi 73 tofauti duniani. Saraha ameingia katika shindano hili kupitia wimbo wake wa Jambazi, na mpaka sasa amefanikiwa kufikia hatua ya 16 bora, ambapo Novemba 16  kutafanyika...

Joh Makini: ASEMA TATIZO BONGO FLEVA IMEKUA KAMA BUS:

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
1:43 AM

Source Times Fm Kama unakumbuka kuna wakati wasanii wengi wanaofanya hip hop Tanzania walikataa kujumuishwa kwenye kundi la Bongo Fleva ambalo kwa kawaida lilichukuliwa kama jina lililowakilisha nyimbo za kizazi kipya za hapa bongo zilizoanza kusikika miaka ya 90, na hadi leo kuna wana hip hop ambao hawakubali kabisa kuhusishwa na jina hili ‘Bongo Fleva’. Mweusi Joh Makini yeye hana tatizo kabisa na jina hilo na anaamini...

Tuesday, November 5, 2013

SMILE AWAFUNGUKIA WALIOVUJISHA NGOMA YAKE YA ''I MISS YOU''

Posted by WaChAfU INC  
Tagged as:
2:07 AM

Mchezo wa kutoka kwa nyimbo za wasanii pasipo na ruhusa za wenyewe, umekua ukishamir sana katika industry ya Music Hapa Tanzania, ni tofauti sana na wenzetu kwa muda mchache tuu wa siku kadhaa wameshalalamika wasanii wengi juu ya suala hili,: Hii nyengine msanii Smile wa Kichefu Kichefu amelalamika pia hivi jana kupitia acount zake tofouti za mitandao ya kijamii kuhusu kuvujishwa kwa nyimbo yake mpya inayoitwa ''i MISS yu'' Kwa mujibu wa Smile amesema...

Page 1 of 71123Next
Proudly Powered by Blogger.